Saturday, December 31, 2011

Wabongo ni wagumu kufuata sheria mpaka wasimamiwe na Askari!!

Hapa akipita kwenye Zebra pamoja na sheria kumtaka asimame ikiwa waenda kwa miguu watafikia watatu. Na hapo chini akipita kwenye Taa nyekundu

Mimi na wenzangu tuliwekeana ubishi kuwa Gari iliyombele yetu haitafuata sheria labda pawe na Askari wa Usalama wa Barabarani, tukaanza kuifuatlia kutoka Salander Bridge hadi Moroco. Lahaula yule bwana hakusimama kwenye zebra wala taa nyekundu. Hii ndo Bongo sheria itafuata kama yupo wa kusimamia.

No comments:

Post a Comment