Kijiweni Leo

Umefanya uamuzi sahihi kuchagua Blog hii kama kituo chako cha taarifa kwa Matukio, Habari na kubadilishana mawazo. Utandawazi umeonyesha kuwa njia bora ya kufikisha ujumbe na mlngwa huweza kutoa majibu papo kwa papo. Pia unaweza kutumia jukwaa hili kuulizia aina ya bidhaa na tutakupa majibu halisi ya Gharama, upatikanaji na hata utendaji kazi wa bidhaa hiyo. Hapa ndipo Kijiweni kwetu.

Hii ni sehemu inayowakutanisha watu wa aina mbalimbali wenye nia ya kupata habari kufanya manunuzi hasa kwa bidhaa ambazo hazipatikani kwa bei rahisi au huhitaji kufunga safari ndefu kuzifuata. Sehemu hii itakupa nafasi wewe kukutana na kupeana taarifa mbalimbali katika ulimwengu wa Habari na Biashara.


Karibu sana
Admin.