Saturday, December 31, 2011

What about women, are they covered as well?!

Tangazo hili la kampuni moja ya simu lililopo maeneo ya Kinondoni Moroco limenigusa, nikajiuliza kama wahusika walifikiria kabla ya kuja na wazo la tangazo la namna hii.

No comments:

Post a Comment