Thursday, December 22, 2011

Floods left Dar es salaam dwellers in heavy panic as commercial activities force to shut down and movement proved failure in many part of the city

Wakazi wa Jiji la Dar es salaam wamelazimika kuchapa lapa baada ya mvua kubwa kuharibu miundo mbinu na kupelekea barabara muhimu kufungwa kutokana na madaraja kuharibika au kumong'onyoka na kuhatarisha usalama wa watumiaji. (Picha na Dotto Athumani)

1 comment:

  1. hapo ndipo tutaona umuhimu wa kuheshimu ushauri wa kitaalam na si kuendekeza siasa ambazo hazina msingi kwa taifa letu

    ReplyDelete