Thursday, December 22, 2011

Kawe Road Bridge closed down as heavy floods took away some part of the connected road bridge.

Barabara kuelekea Mwenge kupitia Lugalo, Bondeni hadi Mbezi Beach imefungwa Kutokana na kumeguka karibia nusu ya eneo la Barabara hiyo na kutishia kubomoka kabisa kwa Daraja linalotenganisha upande wa Lugalo na Mbezi tangi bovu.

No comments:

Post a Comment