Tuesday, December 27, 2011

Ni ajabu sana kwa uongozi wa Mlimani city kutoruhusu kupiga picha eneo hilo..!!

Kwa kujiiba sana nililazimika kupiga picha eneo la Mlimani city baada ya kugundua kuwa si ruhusa kufanya zoezi hilo. Kwangu ilikuwa ni jambo la kushangaza sana kwa eneo la kibiashara kutoruhusu picha, wasiwasi wangu ulizidi baada ya kuhoji walinzi kulikoni picha haziruhusiwi ilhali eneo hili ni si sehemu ya kuhifadhi NYARA muhimu kwa uslama wa nchi au wahusika, jibu lilikuwa "Wao wamepewa maelekezo tu wala hawajui ni kwanini zaidi ya hapo". LAKINI JAMBO KUBWA KWANGU SIJAWAHI KUSIKIA DUNIANI KOKOTE ETI SHOPPING MALL HAKUPIGWI PICHA....Wahusika mpo?!

No comments:

Post a Comment