Monday, January 23, 2012

Tuwajengea tabia ya kupenda kujisomea vitabu watoto wetu wangali wadogo!!,


Waswahili husema, "Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo". Wazazi ni sehemu muhimu ya maisha ya mtoto. Namna anavyokua na uwezo alionao huchangiwa kwa kiasi kikubwa jinsi alivyolelewa na familia yake. Kwa kawaida maisha ya mtoto huambatana na vitu vingi muhimu...mtoto anatabia moja kubwa - HUPENDA KUJIFUNZA KILA ANACHOKIONA MBELE YAKE. Anza kumfunza mtoto wako awe MPENZI wa kujisomea na kutafuta maarifa mapya.

No comments:

Post a Comment