Friday, December 30, 2011

Mwandishi wa Habari na Mtangazaji wa siku nyingi, John Ngahyoma ametutoka duniani leo asubuhi akiwa Hospitalini


Tumepokea taarifa za kusikitisha kuwa Mwandishi na mtangazaji wa siku nyingi, John Ngahyoma ameaga dunia leo asubuhi. Kabla ya kufikwa na umauti, Ngahyoma alikuwa akifanyia kazi idhaa ya kiswahili BBC. Marehemu atakumbukwa kwa mchango wake kwenye tasnia ya habari. MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPA PEPONI..AMEEN

No comments:

Post a Comment